MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA SHULE YA URAFIKI

Na Salama Thalaba, ZJMMC

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd leo amezindua ujenzi wa Skuli ya msingi iliyopewa jina la Urafiki inayofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.
 
Balozi Seif Idd aliyasema hayo katika skuli ya Mwanakwerekwe C wakati akizindua ujenzi wa skuli ya urafiki inayofafdhiliwa  na Serikali ya China kwa Dola za Marekani 1.6.

katika sherehe za uzinduzi wa Skuli hiyo yenye madarasa kumi na mbili,Makamu wa Rais amesema kwamba wananchi wa Zanzibar wanathamini mchango unaotolewa na Serikali ya China.

Pia alisema Serikali inaupa kipaumbele sana mchango huo kwa kuchangia katika sekta ya Elimu kwani bila ya elimu hakuna maendeleo.

Aidha, Balozi Seif Idd amesema kwamba Serikali itachukua kila jitihada kuhakikisha tatizo la vikalio linamalizika katika skuli zote za Unguju na Pemba alisema.
 Utoaji wa madeksi hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.