MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA SWALA YA SIKUKUU YA EID MUBARAK KIMKOA, KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu za Sikukuu ya Eid kwa waumini wa dini ya Kiislam, baada ya kushiriki katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili  kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa tatu kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano  kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa sita kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana  na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka katika viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, leo asubuhi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*