MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA CHANJO



Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa wadau wa chanjo wa uraghibishi kuhusu uanzishaji wa chanjo mbili mpya za kukinga magonjwa ya nimonia na kuhara kwa watoto. Mkutano huo ulifanyika katika hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam tarehe 14.8.2012. Taasisi ya WAMA hujishughulisha pia na masuala ya afya ya mama na mtoto. PICHA NA JOHN LUKUWI

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA