Mkuu wa Mkoa wa Pwani azindua magari ya kubeba wagonjwa.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akitoka kwenye moja ya gari 2 alizo zindua kwenye Hospitali ya Tumbi Mkoani Pwani,magarhayo yametolewa na serikali ya Korea kupitia Rotary International Club ya Tanzania, kulia ni mwakilishi wa Rptary Club Tanzania Bill Bali, na nyuma yao ni Mganga Mkuu wa Hospitali hiyoDk.Pater Datani.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa gari hizo
Mkuu wa Mkoa na wageni wake wakilikagua gari hilo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA