Msaidie Mama huyu Popote Umkutapo


MSAADA WA MATIBABU: Mkazi wa Kijiji cha Mnamba kata ya Nampa mkoa wa Lindi, Rafael Mohamed (36)anayesumbuliwa na uvimbe wa pua tangu mwaka 1984 akisaidiwa na mtoto wake Shafi Abdarah mwenye umri wa miaka 18.,kwenda kutafuta mahitaji ya kila siku. Mama huyo anaomba msaada wa matibabu kwani madaktari wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi wameshindwa kumfanyia upasuaji.

Mwanafunzi wa shule ya msingi Nyangao ya wasioona na wanaoona, iliyopo Wilaya ya Lindi, Hussein Omari akimsiiliza Rafael Mohamed, anayesumbuliwa na ugonjwa wa uvimbe ambao umemfanya ashindwe kuona wakati walipokwenda shuleni hapo kwa ajiri ya kupatiwa msaada wa vyakula mbalimbali vilivyotolewa msaada na wasamalia wema.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA