MTOTO AMEKOTWA ENEO LA PPF TOWER POSTA JIJINI DAR. Kama unamfahamu toa taarifa kupitia namba za simu zilizopo hapo chini.

Mtoto ameokotwa eneo la PPF Tower jijini Dar es Salaam saa sita ya mchana wa leo akiwa amelala kwenye eneo hilo. Amepelekwa Muhimbili na askari wa kituo cha Polisi cha kati. Yeyote aayemfahamu mtoto huyu anaombwa kutoa taarifa kupitia namba 075564863607 AU 07156486

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA