PINDA AKUTANA NA MUASISI WA TAASISI YA IYF

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mchungaji Park Ock  Soo ambaye ni Muasisi wa Tasisi ya  International Youth Felloship  (IYF) ya Jamhuri ya Korea (kushoto)   kwenye makazi yake Mjini Dar es salaam Agosti 3, 2012. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Youth Development, Dkt. Elisante Ole Gabriel na wapili kushoto ni IYF nchini  Dkt. Kansolele  Ntevi. (Pivha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Muasisi wa Taasisi ya International  Youth Fellowship (IYF) ya Jamhuri ya Korea, Mchungaji Park Ock Soo baada ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA