Skip to main content


RAIS KIKWETE KATIKA SWALA YA IDD LEO MSIKITI WA KINONDONI MUSLIM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Yusuph Mwenda wakati akiwasili kwenye msikiti wa Kinondoni kwa ajili kujumuina na waislam wengine kwenye swala ya Idd el Fitr,mapema leo asubuhi.
Rais Kikwete akisalimiana na Baadhi ya Masheik kabla ya swala ya Idd el Fitr mapema leo asubuhi.
Rais Kikwete na waumini wengine wa kiislam wakisikiliza mawaidha katika ibada hiyo ya Idd el Fitr.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mkono wa Idd el Fitr na waumini wenzake wa kiislam baada ya swala hiyo ya Idd el Fitr,katika msikiti wa Kinondoni,jijini Dar es Salaam leo.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akipeana mkono wa Idd na waislam wenzake mara baada ya swala ya Idd el Fitr katika msikiti wa Kinondoni,jijini Dar es Salaam leo.PICHA NA IKULU.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA