Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Ashiriki Baraza la Eid-El-Fitri Zanzibar


  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Rais wa Zanzibar Dkt Ali MohdShein, kwenye viwanja vya hoteli ya Bwawani walipokutana kwa ajili ya Baraza laEid-El-Fitri,jana tarehe 19/08/2012.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi Dkt Ali Mohd Shein, akiwa pamoja na viongozi wakuu wa Zanzibar naviongozi wengine kwenye viwanja vya hoteli ya Bwawani wakati wa sherehe zaBaraza la Eid-El- Fitri.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad (kulia) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, kila mmoja akiwa na shauku ya kutaka kumweleza mwenzake chochote,walipokutana katika hoteli ya Bwawani kwa ajili ya Baraza la Eid-El-Fitri.Viongozi hawa ndio walioasisi maridhiano ya kisiasa Zanzibar na kupatikana Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na viongozi mbali mbali katika viwanjavya hoteli ya Bwawani walipokutana kwa ajili ya Baraza la Eid-El-Fitri,jana tarehe 19/08/2012.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU