Skip to main content

TANGAZO KWA UMMA: YAHUSU WANANCHI KWA UJUMLA NA WAHANGA WA BOMOA BOMOA NYUMBA ZA WAKAZI WA KOTA ZA GEREZANI KARIAKOO.


Mwanasheria wa wakazi wa zilizokua kota za bandari Gerezani , Dkt. Sengondo Mvungi (kulia) akizungumza na wateja wake. Dar es salaam  Katika moja ya mikutano na wakazi hao kuhusu maendeleo ya kesi yao mahakama kuu ya Tanzania na  kwa mujibu wa kesi namba 44 ya mwaka 2012 taarifa zilizochapichwa na mtendaji mkuu wa  wakara wa usafiri wa  haraka ‘DART’ kwa wahanga wakapokee fidia zao linakiuka  amri ya Mahakama Kuu,iliyotajwa tarehe 28,6,2012  hivyo mnashauriwa kuto tii agizo hilo pia wahanga wa bomoa bomoa wanaarifiwa kuhudhuria kikao cha pamoja na wakili ni tarhe 11,8,2012 katika ukumbi mtakaoarifiwa na kamati yao Imetolewa na Dr. Sengondo Mvungi.
 
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA