TBL YASAIDIA VIJIJI VISIMA VYA MAJI 15 WILAYANI LUDEWA

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo akinywa maji kuashiria kuwa ni safi na salama kwa matumizi ya binadamu katika hafla ya kukabidhi mradi wa visima 15 wilayani Ludewa, Mkoa waNjombe hivi karibuni. Mradi huo umefadhiliwa na TBL.
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto) akimtwisha ndoo ya maji  Mkazi wa  Ngelenge, Kata ya Manda,wakati wa uzinduzi wa visima 15 vilifadhiwa na TBL, wilayani Ludewa, Mkoa waNjombe hivi karibuni.
 Katibu Tarafa wa Ngelenge, Januari Mwambeleko akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa visima 15 vilivyojengwa kwa ufadhili wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), katika baadhi ya vijiji wilayani Ludewa, Mkoa mpya wa Njombe. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni wilayani humo. (NA MPIGAPICHA WETU)
                                  Mwambeleko akipampu amaji kwenye moja ya visima hivyo
Steve Kindo (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya maofisa wa TBL pamoja na viongozi wa vijiji wilayani Ludewa walionufaika na mradi huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA