*VEN PERSIE ATAMBULISHWA RASMI MAN U, KUVAA JEZI NA. 20

Kocha wa timu ya Manchester United, Alex Ferguson (kulia) akimtambulisha na kumkabidhi jezi No. 20, mchezaji mpya wa timu hiyo, Robin Van Persie, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester leo, mchana. Mkali huyo aliyejiunga na timu hiyo akitokea Arsenal, amesaini mkataba wa miaka minne na timu hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA