WACHEZAJI WATATU WA TSC ACADENY MWANZA KUFANYIWA MAJARIBIO UJERUMANI

 Mkurugenzi wa Kituo cha TSC Academy Mwanza, Mutani Yangwe, akionesha mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, moja ya tuzo walizopata wakati timu ya vijana wa kituo hicho ilipofanya ziara ya kimichezo nchini Ujerumani hivi karibuni. Kushoto ni Rais wa kituo hicho, Altaf Hirani. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

 Mkurugenzi wa Kituo cha TSC Academy Mwanza, Mutani Yangwe, akionesha mbele ya waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, moja ya zawadi ya fulana walizopata wakati timu ya vijana wa kituo hicho ilipofanya ziara ya kimichezo nchini Ujerumani hivi karibuni. Kushoto ni Rais wa kituo hicho, Altaf Hirani. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Kocha wa timu hiyo, Kaijage akielezea jinsi timu hiyo ilivyofanikiwa katika ziara hiyo kiasi cha wachezaji watatu kufanikiwa kurudi huko mwezi Septemba kwenye majaribio

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA