WANAHABARI WAKIWA KAZINI HUKU WAKIWA WAMEVAA VAZI RASMI LEO

 Mpiga Picha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani, Saleh Masoud akiwa kazini huku akiwa amevalia vazi rasmi leo wakati Mratibu wa Tamasha la Muziki wa Injili, Alex Msama akitoa msaada wa sh. mil. 1 kwa mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Alphonce Modest, Dar es Salaam. Leo ni maadhimisho ya Idd el Fitr inayoadhimishwa duniani kote baada ya waislamu kumaliza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
 Saleh Masoud akiwa amevalia Balakhashia
                                                Saleh Masoud akiwa katika vazi rasmi la Kanzu
 Mpiga Picha wa gazeti la Daily News, Habari Leo, Yusufu Badi akiwa kazini wakati wa shughuli hiyo, huku akiwa amevalia rasmi.
                                                   Badi akiwa na Balakhashia kichwani
                                                   Badi akipendeza kwa kuvaa kanzu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.