WATALIII WALIOTUWAKILISHA OLIMPIKI LONDON WARUDI VICHWA CHINI

Mwakilishi wa Tanzania kwenye mchezo wa kuogelea Magdalena Moshi akilakiwa na bibiyake mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo jioni, mara baada ya wawakilishi hao watanzania kurejea nchini bila medali yeyote.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)Makore Mashaga akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki mara baada ya kuwasili nchini.
Mwakilishi wa Mchezo wa Ngumi Selemani Kidunda.
Wawakilishi wa Mchezo wa kuogelea Amal (mbele) Gadiale na Magdalena Moshi wakiwasili.
Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC Filbert Bayi (katikati), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Michezo nchini Leonard Tadeo ambae alifika kuwapokea uwanjani hapo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA