Waziri Kagasheki ahudhuria mkutano wa 9 wa Sullivan, Equatorial Guinea



Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (kushoto), akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Nigeria, Jenerali Olusegun Obasanjo, mjini Malabo, Equatorial Guinea ambako wanahudhuria mkutano wa Tisa wa Sullivan, unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika. (Picha zote na Pascal Shelutete)


Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (kushoto), akiagana na Rais mstaafu wa Nigeria, Jenerali Olusegun Obasanjo, baada ya kukutana mjini Malabo, Equatorial Guinea, walikohudhuria mkutano wa Tisa wa Sullivan, unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA