Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi Azungumzia Zilizotokea Mjini Morogoro na Kusababisha Kifo Cha Mtu Mmoja

Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu vurugu zilizotokea mjini Morogoro na kusababisha kifo cha mtu mmoja wakati Polisi wakizuia maandamano ya Amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kushoto ni Mkurugenzi wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Kamishna Paul Chagonja.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA