MAANDAMANO YA AMANI YA WAANDISHI WAHABARI MKOA WA MBEYA YAISHA KWA AMANI NA UTULIVU

Waandishi wa mkoa wa Mbeya wakizunguka mnara wa mwenge kuelekea katika kituo cha BP kutoa tamko lao juu ya jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya katikati Christopher Nyanyembe akipokea maandamano ya amani ya waandishi wahabari wa mkoa wa Mbeya
MC wetu Chales Mwakipesile akimkaribisha katibu mkuu wa Mbeya bress club Kenneth Mwazembe nae atoe neno kidogo
Katibu wa Mbeya press club akimkarbisha mwenyekiti wa wa wananahabari wa mkoa wa Mbeya
Mwenyekiti wa Mbeya press club akitoa tamko kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya katika maandamano hayo ya amani
Na huu ndiyo mwisho wa matukio yetu ya leo habari kamili juu ya tamko la wanahabari wa Mbeya litakujia baade

PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA