HARAKATI ZA MAREHEMU DAUDI MWANGOSI WAKATI WA UHAI WAKE

Marehemu Daudi Mwangosi akionyesha bahasha yenye malalamiko ya wanahabari dhidi ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa

Daudi Mwangosi (katikati) akiwa na naibu katibu wa IPC Francis Godwin(kushoto) pamoja na wanahabari George Ndamagoye na Edward Majura wa Nuru Fm ) wakiingia katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa kufikisha malamamiko ya wanahabari Iringa Marehemu Daudi Mwangosi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa IPC katibu mtendaji Frank Leonard na katibu msaidizi Francis Godwin mwenye kamera siku walipotembelea kiwanda cha chai Katumba mkoani Mbeya wakati wa ziara ya balozi wa EU nchini
Marehemu Daudi Mwangosi akipinga wanahabari mkoa wa Iringa kuendelea kubaguliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa ,kazi ambayo imesaidia kuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya ofisi ya mkuu wa mkoa na wanahabari Iringa

Marehemu Daudi Mwangosi (wa pili kushoto) akiwa na viongozi wa UTPC Mary Edward na Rais wa UTPC Keneth Simbaya ,wengine pichani ni Zulfa Shomari aliyekuwa mratibu wa IPC , Selina Ilunga na kushoto katibu msaidizi wa IPC Francis Godwin na katibu mtendaji wa IPC Frank Leonard na mhasibu wa IPC Vicky Macha
Marehemu Daudi Mwangosi (wa pili kulia) akiwa na wanachama na viongozi wa IPC baada ya kuchaguliwa kwa mara ya kwanza kuanza safari ya kuongoza IPC ambayo imekatishwa na polisi wengine ni katibu mtendaji wa IPC Frank Leonard na katibu msaidizi Francis Godwin (mwenye pama) pamoja na wanachama wengineChanzo;Francis Godwin Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.