BREAKIING NEWSSSS, WATU WAFUKIWA NA KIFUSI MGODINI LINDI



Wakati Naibu Waziri  wa Nishati na Madini yupo Ziarani  Wilayani Ruangwa  leo watu 6 Wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na  kifusi mgodini Chimbila (MNACHO) Wilayani Ruangwa-Mkoa wa Lindi Jitihada za kuwaokoa zimekuwa ngumu kutokana na Ukosefu wa zana ....Kufuatia harakati hizo Mpaka sasa Maiti Moja Imepatika..... Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kupitia mtandao huu 

Na Abdulaziz video Rec,Lindi
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuokoa wachimbaji hao
Ukosefu wa vifaa unatatiza juhudi za uokozi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI