DAUDI MWANGOSI MCHESHI KWA KILA MMOJA ALIYEUWAWA KIKATILI NA POLISI

Marehemu Daudi Mwangosi aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (kulia) siku alipoomba kupigwa picha ya pamoja kwa ajili ya ukumbusho katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha Iringa ,kutoka kushoto ni katibu msaidizi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Bw Francis Godwin na katikati ni Mahija Zayumba wakati huo akiwa kituo cha Radio Nuru Fm Iringa .

Hakuna ubishi kwa wale wanaomtambua vema marehemu Mwangosi kuwa alikuwa ni mpenda utani kwa kila mmoja wetu na alikuwa ni mcheshi kila wakati pia alikuwa ni mtu mwenye kujenga hoja na mwenye msimamo wa kusimamia hoja yake na kwa kila jambo hakuacha kujikumbusha katika vitabu vya wanafalsafa mbali mbali .

Nashindwa kuendelea kumuelezea zaidi mwenyekiti wangu na mpiganaji mwenzangu na shemeji yangu Daudi Mwangosi kwa sasa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.