DK MIGIRO AKARIBISHWA NA KUPONGEZWA NA WANAWAKE DAR

 Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete (katikati) akicheza segere wakati wa sherehe iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM), kumkaribisha na kumpongeza Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) kwa kuwa mwamamke wa kwanza Afrika kushika wadhifa huo, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Spika wa Bunge, Anne Makinda na Mama Maria Nyerere wakiangalia wanawake wakiserebuka muziki wakati wa shere hiyo.
                           Mama Slma Kikwete akihutubia katika sherehe hiyo
                                                        Wanawake wa CCM wakicheza na kufurahi
 Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha -Rose Migiro (aliyevaa miwani kushoto) akijumuika kucheza segere wakati wa sherehe iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT-CCM), kumkaribisha na kumpongeza kwa kuwa mwamamke wa kwanza Afrika kushika wadhifa huo, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Mama Migiro akiwapungia wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
Sehemu ya akina mama wakicheza na kufurahi huku wakiwa na mabango ya kumpongeza Migiro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.