HARUSI YA EDSON NA LYDYA YAFANA

 Maharusi na wapambe wao wakigonga cheers juu.
 Bi Harusi Lydya Kabyazi akitembea kugonga cheers na wazazi wake
hawapo pichani wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukumbi wa
St  Joseph mjini songea,
 Bi harusi Lydya Kabyazi akigonga cheers na mzazi wa mumewe
mhandisi Method Byabato jana wakati wa sherehe ya kuwapongeza kufuatia kufunga
ndoa katika kanisa la Mwenage jimbo la Bukoba mkoani Kagera hivi karibuni.
 Bw na Bibi Harusi  Edson Kabyazi na Lydya Kabyazi wakinywweshana
champen wakati wa sherehe ya kuwapongeza katika ukmbi wa St Joseph Songea
jana.
 Edson Kabyazi kushoto akikabidhi keki kwa mazai wake mhandisi
Method Byabato jana wakati wa sherehe ya kumpongeza Edson na mkew kufuatia
kufunga ndoa huko mkoani Kagera hivi karibuni na sherehe ya kuwapongeza
iliyofanyika katika ukmbi wa St Joseph Manispaa ya Songea jana.
 Maharusi wakiwa na keki
 Maharusi wakilishana vipande vya nyama ikiwa ni ishara ya upendo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI