JK AKUTANA NA CHISSANO WA MSUMBIJI

 Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano (wapili kushoto)pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Dr. Thomas  Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*