KIKITIMIZA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA.

Chuo Kikuu huria chajadili umasikini Tanzania.
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Frederick Sumaye, akihutubia kwenye  muhadhara wa kujadili changamoto za umasikini ulioandaliwa na Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania jana Muhadhara umeenda sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya chuo hicho.
Baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wakiwa katika muhadhara huo wa kujadil changamoto za umasikini.
Makamu Mkuu wa chuo hicho Prof. Tolly Mbwete,  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa muhadhara huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA