KUELEKEA PAMBANO LA WATANI; MARA NYINGI YANGA HUFUNGWA USIKU

Kutoka kulia; Emmanuel Okwi, Patrick Mafisango (marehemu) na Felix Sunzu wakishangilia bao la penalti alilofunga Sunzu katika mechi ya mwisho ya usiku kukutanisha miamba hiyo. Simba ilishinda 2-0 Agosti 17, mwaka jana Uwanja wa Taifa, je, Jumatano itakuwaje? Kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog

Na Mahmoud Zubeiry
MECHI ya Jumatano ya watani wa jadi, Simba na Yanga itaanza saa 11:00 jioni na itamalizika kuanzia saa 1:00, wakati giza limekwishaingia uwanjani. Je, unajua matokeo ya mechi zilizopita za watani zilizoishia gizani? BIN ZUBEIRY yupo kwa ajili yako, pata vituz.
MATOKEO YA MECHI ZA WATANI USIKU:
JANUARI 1975
Yanga Vs Simba; Fainali, 2-0
WAFUNGAJI: Gibson Sembuli na Sunday Manara
Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati
JANUARI 1992
Simba Vs Yanga; Fainali
1-1, Simba ilishinda kwa penalti 5-4
Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati
JANUARI 12, 2011
Simba Vs Yanga; Fainali 2-0
WAFUNGAJI: Mussa Mgosi dk 33, Shijja Mkinna dk 71
(Uwanja wa Amaan, Zanzibar)
Kombe la Mapinduzi
OKTOBA 27, 1992
Simba v Yanga
1-0
MFUNGAJI: Damian Morisho Kimti.
Ligi ya Muungano
AGOSTI 17, 2011
Simba vs Yanga 2-0, Dar
WAFUNGAJI:
Haruna Moshi ‘Boban’ dk 15 na Felix Sunzu dk 38.
Ngao ya Jamii

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA