MAANDAMANO YA WANAHABARI KUPINGA KUUAWA KWA DAUDI MWANGOSI

 Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Nevile Meena akihutubia katika mkutano uliofanyika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam leo, kulaani ktendo cha Polisi kumuua kwa bomu Mwandishi wa habari wa Kituoc ha Televisheni cha Channel Ten, Mkoa wa Iringa, marehemu Daudi Mwangosi katika vurumai zilizotokea wakati Chadema wakifungua tawi katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi hivi karibuni.
 Meena akihutubia huku anionesha vidole vitatu akiiambia Serikali kuwa Vyombo vya Habari hata bila kuandamana vinaweza kuitikisa nchi hata kwa kutangaza kwamba wanahabari hawataweza kwenda kuripoti mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kwa kutangaza kuwa ni maeneo hatari. Maandamano hayo yalianzia Channel Ten j hadi kwenye viwanja hivyo.Awali walitakiwa kufanyika mkutano viwanja vya Mnazi Mmoja lakini uongozi wa Manispaa ya Ilala, uliwakatalia. PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Wanahabari wakiwa na huzuni huku mmoja wao akiwa na bango lenye ujumbe wa kulihoji jeshi la Polisi
 Mmoja wa wanahabari akiwa ameziba mdomo  wakati wa mkutano huo. Hiyo ni ishara kwamba kutokana na kifo cha mwandishi mwenzao,. Serikali inapanga kuwaziba midomo wanahabari nchini
 Wanahabari wakifurahia baada ya kutangaziwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi aliyekwenda kwenye mktano huo, ametimuliwa.
 Wanahabari wakichangia ubani kwa ajili ya rambirambi ya familia ya Mwangosi
 Mohja ya mabango yenye ujumbe
 Mhadhili wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavery Gwaitama akitoa
 Mwandishi Mkongwe, Mas
 Wanahabari wakiwa na picha ya marehemu, Daudi Mwangosi
Polisi wakilinda doria kwenye mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*