MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA WATU WA KOREA (KOREA BUSINESS CENTRE) JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa kwanza kushoto upande wa kulia) akijumuika pamoja na viongozi KOTRA ya Tanzania, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Rais wa KOTRA, Young-Ho oh, wakati wa na wa uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 2012. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Kituo cha Uwekezaji cha watu wa Korea (korea Business Centre) uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo Sept 06, 201

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA