MAMA ASHA BILAL AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA SIKU MOJA YA CHAMA CHA ‘SHEREHE ARTS ASSOCIATION’ (SAA)

 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Picha na OMR
 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Marry Mwanyato, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Brigita Kisenga, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA) baada ya ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na chama hicho kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI