MAONESHO YA SARAKASI YA TIGO MAMA AFRICA IJUMAAA

 Mtalaamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudance Mushi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu maandalizi ya maonesho ya sarakasi ya Tigo Mama Africa Curcus yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo. Maonesho hayo yataanza kufanyika Ijumaa Septe 27 hadi Novemba 4 mwaka huu New World Cinema, Mwenge, Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro na Mratibu wa maonesho hayo, Costantino Magavilla.
                                               Magavila akifafanua jambo mble ya wanahabari
 Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Kampuni ya Tigo, Gaudance Mushi (kushoto), Mkurugenzi wa Mancom Centre, Costantine Magavilla (katikati) na Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro wakiwa mbele ya sanamu ya mamba inayotembea ikiwa na mtu ndani, walipokuwa wakiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, baadhi ya mambo yatakayokuwepo katika maonesho ya sarakasi ya Tigo Mama Afrika Circus Septemba 27 hadi Novemba 4 mwaka huu, kwenye Ukumbi wa Sinema wa World, Mwenge jijini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.