MAZISHI YA MWANDISHI WA TANZANIA DAIMA AGNES YAMO KATIKA PICHA

Baadhia ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, marehemu Agnes Yamo, tayari kwa ibada fupi ya mazishi, nyumbani kwao Kigurunyembe, mjini Morogor leo mchana. (Picha zote na Joseph Senga)
Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho mwa marehemu Agnes Yamo, kabla ya mazishi yake, yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kola, mjini Morogoro leo mchana.
Ndugu, jamaa na marafiki wakishusha kaburini jeneza lenye mwili wa marehemu Agnes Yamo, wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kola, Kigurunyembe mjini Morogoro leo mchana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.