MBUNGE WA IRINGA MJINI ALIPOTEMBELEA MAONYESHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA KITAIFA IRINGA

 
Mbunge wa Iringa mjini, Peter Msigwa (mwenye magongo) akisalimiana na wadau mbalimbali wa Usalama Barabarani, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Samora mjini Iringa, kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, Salim ‘Asas’ Abri (kulia) Father Kidevu (mwenye kofia) na Mdau Frank wa mjini Iringa. Pia Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Iringa, Ritha Moto Kabati naye pia alipata wasaa wa kutembelea maonesho hayo.
Licha ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini (CHADEMA) Rev. Peter Msigwa kuuguza mguu wake kulia uliotenguka lakini alipata wasaa wa kuungana na wananchi wa jimbo lake na taifa kwa ujumla kutembelea mabanda ya Maonesho yaliyopo katika Uwanja wa Michezo wa Samora mjini Iringa kujionea shughuli mbalimbali za Jeshi la Polisi na Vikosi vingine na mabanda ya wadau wa Usalama Barabarani yaliyopo uwanjani hapo katika maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kitaifa yanayofanyika Mkoani Iringa ndani ya Jimbo lake. Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni “PAMBANA NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*