Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira Barani - Afrika

 Baadhi ya Mawaziri wa Mazingira barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Mawaziri wa Mazingira Afrika Dk. Terezya Huvisa (hayupo pichani) katika mkutano unaoendelea mjini Arusha kwenye ukumbi wa AICC. (Picha na Ali Meja)

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira ambae pia ni Rais wa Mawaziri wa Mazingira Barani Afrika Dk. Terezya Huvisa akiongoza kikao cha mawaziri hao katika ukumbi wa AICC mjini Arusha leo.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI