MTOTO KENETH BOKELA APATA UPONYAJI KANISANI DAR

 Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dar es Salaam, Elizabeth Kway akimwekea mkono wa uponyaji, mtoto Keneth Bokela (14) wakati wa ibada maalumu iliyofanyika kanisani hapo mwishoni mwa wiki. Wa pili kushoto ni Baba mzazi wa Keneth, James Bokela.
 Mchungaji Akway amwekea mkono wa uponyaji mdogo wa Keneth
 Kwaya ya kanisa hilo ikutmbuiza
 Wazazi wa Keneth, James Bokela (kushoto) na mama yake wakishiriki katika ibada hiyo.
 Waumini wakipiga makofi baada ya Mchungaji kuwaombea uponyaji baadhi ya waumini wa kanisa hilo
 Hata baadhi ya raia wa kigeni walishiriki pia katika ibada hiyo

Keneth akitoa sadaka
Kwaya ya kanisa hilo ikitumbuiza
 Baba (kulia) na Mama mzazi  (kushoto) wa Keneth wakipongezwa na jamaa zao baada ya Keneth kuponywa.
 James Bokela ambaye ni Baba Mzazi wa Keneth akiwakaribisha wageni waalikwa katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Kunduchi Beach
 Keneth na wenzie wakipata mlo ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuponywa kwake
 Sasa ni wakati wa msosi
 Kikundi cha kwaya
Keneth (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na jamaa zao

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI