PILIKAPILIKA ZA MAISHA MKOANI TANGA

 Mama mkazi wa akiwa amebeba kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, kama alivyonaswa juzi na Mpigapicha Wetu, akiwa safarini kwenda Pangani kutoka Tanga.
 Mpagazi akisaidiwa kutwishwa mzigo wa kabeji katika Kijiji cha Mbweni, wilayani Muheza, Tanga hivi karibuni.
 Wafungwa wakikataa mitaa katika mji wa Pangani hivi karibuni bila ulinzi wa askari Magereza. Haikuweza kufahamika mara moja walikokuwa wakienda.
Abiria wakiteremka kutoka kwenye kivuko juzi mjini Pangani kutoka Kijiji cha Mauya baada ya kuvuka Mto Pangani juzi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.