RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini Mheshimiwa Adam Koenvaad huko Ikulu tarehe 10.9.2012. PICHA NA JOHN  LUKUWI

Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mheshimiwa Jassim Mohamed Mubarak Darwesh mara baada ya Balozi huyo kutoa hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete huko Ikulu tarehe 10.9.2012.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*