RAIS KIKWETE KATIKA UFUNGUZI WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI

Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) Septemba 10, 2012    Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia kwake  ni  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala na kushoto kabisa ni Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu Younqing.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala Septemba 10, 2012  baada ya kumkabidhi mfano wa funguo kama ishara ya kufungua rasmi chuo hicho kilichopo   Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia  ni  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala  baada ya kufungua rasmi chuo hicho kilichopo   Kunduchi jijini Dar es salaam. Nyuma yao ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha anayefuatana na  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange.

Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akisoma hotuba yake kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) kilichoko Kunduchi jijini Dar es salaam, pamoja na kuzindua kozi ya kwanza ya mwaka mmoja. Walioketi karibu yake  ni  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala.

Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akisoma akipozi na wanachuo wa kozi ya kwanza ya bmwaka mmoja   katika Chuo cha UIinzi (National Defence College) alichofungua rasmi leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*