Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC) Bw. Peter Maduki akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Seif Rashid baada ya kufungua mkutano huo.
 Mwenyekiti wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) akiwa na Katibu wake Dk. Mark Bingileki  wakiongea na waandishi wa Habari baada ya ufunguzi wa Mkutano huo.
 Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Afya Na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid(Kati) akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) na Dk. Mark Bingileki wakielekea katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kufungua mkutano wa 75 wa Chama cha Madaktari wa Kikristo Tanzania (TCMA).Picha na habari na Afisa Habari

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.