SIKU RAIS KIKWETE ALIPOMTANIA KAMANDA MWAIKENDA

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimtania Mmiliki wa Blog hii ya Kamanda wa Matukio, alipokutana naye Jumapili iliyopita kwenye makazi yake Ikulu, Dar es Salaam, wakati makarani wa Sensa  ya Watu na Makazi walipokwenda kumhesabu yeye na familia yake.



 Kamanda Richard Mwaikenda akizungumza jambo na Rais Jakaya Kikwete walipokuwa wakipiga picha ya pamoja na waandishi wa habari waliokwenda kwenye makazi yake Ikulu, Dar es Salaam kufanya coverage ya kuhesabiwa yeye na familia yeke.
Kamanda Mwaikenda akiwa miongoni mwa wanahabari wakimsalimia Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.