TANZANIA TEA BLANDERS KUWASOMESHA WATOTO 40

 Mjumbe wa Bodi ya SOS, Daudi Makobore akisaini mkataba wa utambulisho ( MOU) kati ya SOS na Tnzania Tea Blanders kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Dk. Alex   Lengeju (Director of SOS Villages, Rita  Khuranga (National Director SOS, Dk. Daudi  Makobore (Bord member SOS) (wa mwisho kushoto) wakipokea mfano wa hundi kutoka Mr. D.Ravi Kumar-Chief  Finance Officer (Signing the MoU) Tanzania Tea Blanders, kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS, jijini Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*