Wasanii wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Getreude Mongella  mjini Nansio akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza, Septemba 2012
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa Wilaya ya Ukerewe baada ya kuwasili Mjini Nansio kwa ziara ya kikazi Septemba  11, 2012. Kushoto ni Mkuu wa WIlaya hiyo, Mary Tesha.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinnda na Mkewe Tunu (kushoto) wakivuka katika Pantoni ya MV Ujenzi  kutoka Kisorya hadi Rugezi  Ukerewe wakiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza  Septemba 11, 2012.  Aliyekaa kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.