TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SH. MIL. 11 WIKI YA NENDA KWA USALAMA

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga sehemu ya fulana 550, kofia 200 na stika 350 kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana. Vifaa hivyo vina thamani ya sh. mil. 11.
 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga, akiangalia moja ya fulana baada ya kukabidhiwa na  Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo.
 Kamanda Mpinga akionesha stika hizo zenye ujumbe maalumu maadhimisho hayo
 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia), akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga sehemu ya stika 350 kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam jana. TBL pia ilikabidhi fulana 550 na kofia 200 vyote vikiwa na thamani ya sh. mil. 11.
 Kamanda Mpinga (kushoto), akitoa shukrani kwa TBL. Kutoka kulia ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa kampuni hiyo, Steve Kilindo.
 Kamanda Mpinga (kulia) akiteta jambo na msaidizi wake, Kahatano wakati wa hafla hiyo.

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Kuruthum Bambe (kushoto) akiwa na Mkaguzi wa Polisi, Zauda Mohamed wakati wa hafla hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA