UZINDUZI WA SUPER SPORT KUTANGAZA LIGI KUU YA TANZANIA KWA MAJARIBIO

 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga (kulia) akizungumza na watangazaji maarufu wa Kampuni ya Super Sport ya Afrika Kusini, Thomas Mlambo (kushoto) na Thomas Kwenaite wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuanza kwa majaribio kutangaza baadhi ya michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom nchini katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
                                  Tenga na Mlambo wakiendelea kuuzungumza
                                  Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah (katikati) akihojiwa na watangazaji hao
     Mtangazaji wa Super Sport, Thomas Kwenaite (katikati) akiwahoji  Makamu Mwenyekiti wa Simba, Abdalah Nyange 'Kaburu' na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako
                                                   Crew ya Super Sport

                                         Tenga akijadiliana jambo na baadhi ya viongozi wa TFF
 Tenga akisalimiana na Mtangazaji wa Super Sport Tanzania, Kaijage alipokuwa  akizungumza na Mkuu wa Super Sport Afrika, Andre Veute
                                             Mtangazaji Mlambo wakionoza hafla hiyo

 Meneja Mkuu wa Multchoice Tanzania, Peter Fauel akizungumza wakati wa hafla hiyo
                                Kaburu wa Simba akiteta jambo na Mwalusako wa Yanga
 
Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Bi. Furaha Samalu akiiwa na  watangazaji wa kipindi cha Africa Soccer Show wakati wa halfa hiyo.
 Mkuu wa Super Sport Afrika, Andre Venter, akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo
 wATANZANIA WATANGAZAJI WA Super Sport kwa kiswahili Florian Kaijage (kushoto) na Ndimbo wakiwa katika hafla hiyo
Meneja Uhusiano wa Multchoice Tanzania, Barbara Kambagi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wenzie .

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI