WADAU HII NDIYO HALI ALISI WATU WAWILI WAUWAWA KATIKA KIJIJI CHA KEMONDO BAADA YA KUSHUKIWA KUHUSIKA NA UCHUNAJI WA NGOZI

Watu wawili ambao majina yao hayajafahamika wameuawa na watu wenye hasira katika kijiji cha kemondo wilaya ya bukoba vijijini.

Polisi imefika eneo la tukio na kuchukuwa miili ya marehemu hao, lakini tarifa za wananchi zinasema jamaa hao walijitambulisha kuwa ni wakaazi wa kigoma.

Binti anita miaka 19 alilifukuzwa na marehemu hao jana ili wampeleke kusikojulikana.

Mtendaji wa kata ya Kemondo anasema wananchi wamechukuwa hatua hiyo baada kuwepo kwa matukio ya upotevu wa watu mfano juzi alipotea mwanafunzi wa shule ya msingi lakini baadaye amepatikana katika mazingira ya kutatanisha.

Polisi wameondoka na kijana ambaye jina lake halikufahamika mara moja ili asadie kueleza kwani ni naye alikuwa amekamatwa na watu hao wakitaka kumpeleka kusiko julikana.
Pichana askari polisi wakibeba mwili wa mmoja kati ya waliouwawa
Miili ya marehemu hao baaada ya kuchomwa moto na kundi la wananchi wenye hasira kali.


MWISHO NDG MDAU TUNAZIDI KUKUOMBA UTUPE USHIRIKIANO KWA KUTUTUMIA HABARI AU MATUKIO YENYE TIJA KUTOKA POPOTE PALE ULIPO PIA KUMBUKA KUTUSUPORT JAPO KWA KUWA FOLLOWERS , JIUNGE NASI KUPITIA SEHEMU HUSIKA KWA KUTUMIA EMAIL YAKO KWANI TUKIPATA IDADI INAYOYORIDHISHA YA MEMBER NI CREDIT KWETU KIUTENDAJI NA KATIKA HILI TUNAOMBA TUFANYE KUAMASISHANA ILI TUWEZE KUFIKIA MALENGO YETU TUNAAMINI CHANGAMOTO BADO NI KUBWA SANA !!!

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI