WAISLAMU WAANDAMANA DAR KULAANI FILAMU INAYOMKASHIFU MTUME



 Waislamu wakinyanyua mikono kulaani  filamu ya kumkashifu Mtume Muhammad na kuitaka serikali itoe tamko la kulaani, jana katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
 Mmoja wa wailsamu akionesha hisia zake wakati wa mkutano.

 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akitangaza maazimio katika mkutano huo.

 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia walinda usalama wakati wa mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.