Warsha Ya Alama Kwa Viziwi Yafanyika Jijini Dar es salaam.

Ni Baadhi ya washiriki wa Warsha kuhusu Umuhimu wa Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye picha ya pamoja na mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene  wa sita kushoto (aliyevaa suti) kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria ,uliopo  Regency Estate mjini Dar es Salaam leo
Mkuu wa wa Idara ya Wanawake Chama Cha Viziwi Tanzania( CHAVITA)Lupi Maswanya Mwaisaka akitoa neno la Shukrani kwa Mgeni  Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene wakati wa kufungua Warsha kuhusu Umuhimu wa  Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa World Family of Radio Maria uliopo Regency Estate  mjini Dar es Salaam leo
Ni Baadhi ya washiriki wa Warsha kuhusu Umuhimu wa Lugha ya Alama katika utoaji  huduma kwa Viziwi kwenye picha ya pamoja na mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Ndugu Assah Mwambene  wa sita kushoto (aliyevaa suti) kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria ,uliopo  Regency Estate mjini Dar es Salaam leo
Mkurugenzi wa Idara ya Habari( MAELEZO)Assah Mwambene  kushoto akifungua Warsha kuhusu umuhimu wa Lugha ya Alama katika Utoaji  huduma  kwa Viziwi kwenye Ukumbi wa World Family of  Radio Maria,Regency Estate mjini Dar es Salaam na kulia ni Mkalimani wa Lugha ya Alama .     
                                   Picha na Anna Itenda –MAELEZO

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.