WATUMISHI KUTOKA SIERRA LEONE NA MALAWI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NCHINI TANZANIA

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala (kulia) akiwakaribisha ofisini kwake wageni kutoka Malawi na Sierra Leone ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma.
 Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Claudia Mpangala (upande wa kulia katikati) akiwa na baadhi ya watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Geoigiana Kamara (kulia) kuhusu utendaji  kazi wa  Ofisi ya Rasilimali watu ya Sierra Leone.
 Afisa Tawala Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma  Bw. Chele Ndaki akitoa maelezo ya namna Tume  hiyo inavyotekeleza majukumu yake kwa wageni kutoka Malawi na Sierra Leone ambao wako nchini Tanzania kujifunza masuala mbalimbali ya utendaji kazi yanayofanywa na Tume ya Utumishi wa Umma.
Naibu Katibu wa Idara ya Zimamoto na Uokaji, Tume ya Utumishi wa Umma Bw. Donarld Ndagula (kushoto) akimsikiliza Bw. Abel Mwamlima kutoka Idara ya Utumishi wa Umma,Sera, Utafiti na Maendeleo kutoka nchini Malawi (aliyeshika kalamu) wakati wa kikao cha pamoja cha kubadilishana uzoefu katika shughuli za utumishi wa Umma kati ya Tanzania,Malawi na Searra Leone.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*