Waziri Membe Atembelea Wilaya Mpya Ya Nyasa, Aangalia Mpaka Kati Ya Tanzania Na Malawi

 Mhe. Bernad Membe   akisalimiana na mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Ruvuma Daud Masiko .
 Mkuu wa Brigedi ya kusini Songea Kanali John Chacha akisamiliana na Waziri wa Mambo ya nje  na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernad Membe mjini Songea
Mzee Gidion Ndembeka kulia akimuonesha Waziri wa mambo ya nchi za nje Bernad Membe kitabu chenye mipaka halali kati ya Malawi na Tanzania iliyopo ndani ya Ziwa Nyasa
Mzee aliyefahamika kwa jina moja la Ngatunga akizungumza jana wakati wa ujumbe wa wataalamu kutoka Serikalini ulipotembelea ziwa nyasa wilayani nyasa Ruvuma ili kupata ushahidi wa mmiliki halali wa ziwa nyasa ambalo limeziingiza katika mgogoro Malawi na Tanzania.

                                                Picha na Muhidin Amri

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.