Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akivalishwa skafu  baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja wilayani humo, Septemba  8, 2012. Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige, huku mkewe, Tunu akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Kahamahuku baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Buzwagi,  wilayani humo kwa ziara ya siku moja jana, Septemba 8, 2012. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Azza Hilal na watatu kulia ni Mbunge wa Kahama, James Lembeli.
Wasanii wa Kahama, wakicheza ngoma ya Waswezi, wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili Uwanja wa ndege wa Buzwagi, Kahama kwa ziara ya siku moja jana, Septemba 8, 2012. Katikati yao yupo Mbunge wa Kahama, James Lembeli.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.