YANGA YAKUNG'UTWA NA MTIBWA 3-0

Dakika ya 76 husseib javu aliipati mtibwa bao la tatu na kuitimisha kalamu ya

mabao. Mpaka mapumziko mtibwa imetoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 2-0.

Bao la kwanza limvefungwa na dickson daudi kwa kichwa akimalizia mpira wa kona

 iliyochongwa malika ndeule. Dakika ya 43 hussein javu aliipatia mtibwa bao ya

pili baada ya kufantika shambulio la nguvu. Mtibwa_ shaban kao, malika

ndaule,issa rashid, dickson daudi, salvatory ntebe, shaban nditi, jamal mnyate

awadh juma, hussein javu, shaban kisiga na vicent. Yabga ally mustaphar, juma

abdul, mbuyu twite, kelvin yondani, nadr haroub, athuman idd chuji, frank

dumayo/ stephano mwadika, said bahanuzi, hamis kiiza na david lwende/ simon

msuva.

Dakika ya 87 hamis kiiza alikosa penalti baada ya kupaisha mpira juu ya goli,

baada ya mwamuzi kamuru penalti mchezaji wa mtibwa malika ndeule kuunawa mpira

akiwa katika eneo la hatari. Hata hivyo mpira ulikuwa mkali kwa yanga kukosa

nafasi kadhaa katika  kama dakika ya 15 dakika ya 25 na dakika ya 42 kupitia

kwa waxhezaji wake haruna niyonzima na hamis kiiza, hata mtibwa ilikosa mabao

dakika ya 6, 16 na 56 kupitia kwa wachezaji wake huusein javu na vicent

barnabas. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA